Mwanamuziki Jennifer Lopez ambaye alitakiwa kuimba wimbo maalum katika sherehe za ufunguzi wa mashindano ya mwaka huu ya kombe la dunia nchini Brazil amejitoa kufanya onyesho hilo. Kwa mujibu wa mwakilishi wa mwanamuziki huyo, Jennifer Lopez hatashiriki sherehe za mwaka huu za ufunguzi wa kombe la dunia ambapo hajatoa sababu ya kufikia uamuzi huo. Lopez...
The post Jennifer Lopez ajitoa kufanya onyesho katika ufunguzi kombe la Dunia. appeared first on TZA.