Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Kilichosemwa bungeni juu ya picha chafu zinazosambazwa mitandaoni za watu maarufu.

$
0
0

Sakata la kusambaa picha zisizokuwa na maadili mitandaoni zikiwemo za watu maarufu hapa nchini leo limezungumziwa tena katika bunge la Tanzania kule Dodoma ambapo katika kipindi cha maswali na majibu Mhe. Habib Mnyaa ameonekana akihoji serikali inachukua hatua gani juu ya watu wanaotuma picha zao zisizo na maadili mitandani zikiwemo za kina Wema na Diamond...

The post Kilichosemwa bungeni juu ya picha chafu zinazosambazwa mitandaoni za watu maarufu. appeared first on TZA.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles