Mchekeshaji maarufu wa nchini Marekani Tracy Morgan bado yupo katika hali mbaya kiafya kutokana na ajali mbaya ya gari aliyopata mwishoni mwa wiki. Muigizaji huyo wa vichekesho anakabiliwa na majeraha ya kuvunjika mbavu, pua na mguu baada ya gari aliyokuwa akisafiria kugongwa na gari kubwa na kusababisha ajali mbaya. Baada ya kufanyiwa upasuaji wa mguu...
The post Mchekeshaji Tracy Morgan katika hali mbaya baada ya ajali. appeared first on TZA.