Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Cheki picha 15 za party ya Chris Brown akisherekea kutoka jela

$
0
0

Chris Brown ametoka jela na kuungana na watu wake wa karibu wakiwemo mama yake na girlfriend wake. Hizi ni picha za kwanza kabisa kumuonyesha Chris Brown tangu atoke jela. Ukiangalia kwa makini picha hizi utagundua kwamba Chris Brown amenenepa tofauti na vile alivyokuwa aningia gerezani. Party hiyo ilijumuisha sherehe ya birthday yake iliyopita. Watu waliokuwepo...

The post Cheki picha 15 za party ya Chris Brown akisherekea kutoka jela appeared first on TZA.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles