Mitandao mingi ya udaku wamekuwa wakiripoti mapenzi mapya kati ya rapper wa Bad Boys record “French Montana” na “Khloe Kardashian” ambaye ni mdogo wake Kim Kardashian. Khloe alikuwa ni mke wa mcheza kikapu Lamar Odom lakini wamepitia mambo mengi na jinsi ilivyo hivi sasa mahusiano yao hayapo vizuri kabisa. Sasa kilichotokea hivi sasa ni kwamba...
The post Khloe Kardashian afika hadi Africa kwa ajili ya mapenzi. appeared first on TZA.