Producer Lucci wa studio za Transformax ameuaga rasmi ukapera baada ya kufunga ndoa na mchumba wake Lisa Tsere ambae Mungu tayari aliwajalia mtoto wa kiume na hivi sasa ni mume na mke wa halali kutoka kanisani. Lucci ni producer ambae pia mikono yake imewahi kuhusika kwenye hits za msanii kama Cpwaa na Black Ryno. Kaa...
The post Picha za harusi ya Producer Lucci wa bongofleva appeared first on TZA.