Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Matokeo ya Tuzo alizoshiriki Diamond kwenye MTV Africa Music Awards

$
0
0

Tuzo ya mwisho alikuwa anawania Diamond kwenye MTV MAMA 2014 ilikuwa ni Best Male Artist lakini imechukuliwa na Davido. Leo  Diamond alikuwa anawania tuzo mbili lakini hajafanikiwa kushinda kati ya hizo. Tuzo ya best collabo ilitangazwa awali na imechukuliwa na Uhuru ft DJ Bucks,Oskido,Professor,Yuri Da Cunha na wimbo wa Y-tjukutja. Lakini sio mbaya watanzania wamefanya...

The post Matokeo ya Tuzo alizoshiriki Diamond kwenye MTV Africa Music Awards appeared first on TZA.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Latest Images

Trending Articles