Jumapili ya leo August 24 2014 Magazetini
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleKama ulimis mechi ya Arsenal vs Everton – nimekuwekea video ya magoli hapa
Baada ya mechi za mchana, ligi kuu ya England imeendelea usiku huu kwa mchezo mmoja kati ya Everton waliowakaribisha Arsenal. Matokeo ya mchezo huo uliopigwa kwenye dimba la Goodison Park ni sare ya...
View ArticleVideo: Angalia magoli ya Diego Costa na Hazard yalivyowapa Chelsea ushindi vs...
Magoli mawili ya Diego Costa na Edin Hazard yameendelea kuiweka Chelsea kwenye kilele cha ligi kuu ya England baada ya ushindi wao dhidi ya Leicester City katika mchezo uliopigwa kwenye dimba la...
View ArticleHivi ndivyo ilivyokuwa Serengeti Fiesta Tanga Aug 23.
Serengeti Fiesta Tanga imemalizika kwa stage kushambuliwa na zaidi ya wasanii 15 ambao kwa pamoja walitoa burudani kwa wakazi wa Tanga,Mara nyingi stage ya Srengeti Fiesta huwa inatawaliwa na ‘Sapraiz’...
View ArticleKauli ya Carlo Ancelotti kuhusu Di Maria kuaga wenzake leo hii
Sakata la usajili wa winga wa kimataifa wa Argentina Angel Di Maria kwenda klabu ya Manchester United limechukua sura mpya leo hii. Kwenye mkutano wa waandishi wa habari wa kocha wa Real madrid Carlo...
View ArticleChris Brown akoswa kupigwa risasi na watu wasiojulikana ndani ya Club.
Chris Brown alikuwa host wa pre party ya VMA Awards ndani ya 10AK club huko Hollywood. Kilichotokea kwenye hiyo party ni kupigwa risasi watu watatu na kukimbizwa hospitali akiwemo music producer Suge...
View ArticlePicha 8 mpya za P Square zinazoangaliwa sana kwenye internet hivi sasa.
Peter na Paul mapacha wa P Square wanakaribia kutoa album yao ya sita na hivi sasa wametoa picha zao mpya ikiwa ni moja ya promotion kuelekea uzinduzi wa album hiyo. Kama wewe ni shabiki wa P Square...
View ArticleEPL: Matokeo ya mechi ya Man U vs Sunderland haya hapa
Wakati wakikaribia kumsaini Angel Di Maria kutoka Real Madrid, klabu ya Manchester United leo ilijitupa uwanjani kucheza mechi yake ya pili ya EPL dhidi ya Sunderland. Mchezo huo uliopigwa kwenye dimba...
View ArticleReal Madrid Legends dakika chache kabla ya kupaa na @Fastjet kwenda Kilimanjaro.
Fastjet ni shirika la ndege lililotoa kiapo cha kutoa usafiri wa haraka, salama na wenye utulivu kwa njia ya anga na kufanya safari zake kati ya Dar, Mbeya, Kilimanjaro, Mwanza, Lusaka, Harare na...
View ArticleKama uliona hizi picha zilizosambaa ukaamini ni ndoa ya Jaguar. @RealJaguarKenya
Jaguar aliandikwa na vyombo kadhaa vya habari Kenya kwamba amekwenda kufunga ndoa ya Mwanamke wa maisha yake nchini Afrika Kusini ambapo picha zilianza kusambaa toka wiki iliyopita. kwenye exclusive na...
View ArticleStori kubwa magazetini leo August 25 2014 Udaku, Michezo na Hardnews
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleVideo: Angalia namna Messi alivyoanza msimu mpya wa La Liga (Barca vs Elche)
Ligi kuu ya Hispania maarufu kama La Liga ilianza usiku wa jana kwa mchezo wa kati ya FC Barcelona dhidi ya Elche. Mechi hiyo iliisha kwa ushindi wa magoli 3-0 kwa FC Barcelona – Lionel Messi alianza...
View ArticleUmeipata hii ya huyu kijana kuwataka kimapenzi Ma-Mc wa Dar?
Idara ya Hekaheka ambayo ipo ndani ya kipindi cha Leo Tena ina stori kuhusu kijana ambaye kwa umri anaonekana bado mdogo kuwataka kimapenzi Ma Mc wa shughuli mbalimbali. Ukitoa tu kuwataka kimapenzi...
View ArticleKama ulimis mchezo wa Man UTD vs Sunderland nimekuwekea video ya magoli hapa
Wakati wakikaribia kumsaini Angel Di Maria kutoka Real Madrid, klabu ya Manchester United leo ilijitupa uwanjani kucheza mechi yake ya pili ya EPL dhidi ya Sunderland. Mchezo huo uliopigwa kwenye dimba...
View ArticlePicha 30 zikionyesha kilichotokea ndani ya ukumbi kwenye utoaji wa tuzo za...
Tuzo za VMA 2014 zimefanyika na mastaa wengi walifika kwenye hilo tukio. Listi ya mastaa hao iliongozwa na familia ya Jay Z na Beyonce wakiwa na mtoto wao Blue Ivy,Kelly Rowland,Chris...
View ArticleHii ndiyo video mpya kutoka kwa Cyrill Kamikaze – Alowa
Cyrill member wa kundi la Wakacha ametoa video mpya ambayo ndani yake unaweza kumuona Jux pia. Dakika 3 na sekunde 25 zinatosha kuicheki hii video..enjoy. Unataka niwe nakutumia kila ninachokipata?...
View ArticleLingine linalosemwa kwenye uhusiano wa Wema Sepetu na Diamond Platnumz.
Ukubwa wa majina yao unawafanya kila inapoitwa leo kuzungumziwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari kuhusiana na uhusiano wao wa kimapenzi huku stori nyingi zimekuwa zikitoka zinazowahusu. Wiki chache...
View ArticlePicha za Red carpet pamoja na listi ya washindi wa tuzo za VMA 2014
Red Carpet ya VMA 2014 imetawaliwa sana na picha nyingi za mke wa Wiz Khalifa ‘Amber Rose’. Model huyu alivaa nguo yenye muonekano wa cheni huku ikiacha sehemu kubwa na mwili wake wazi. Hizi ni picha...
View ArticleOfficial: Mario Balotelli ajiunga na Liverpool – hii namba ya jezi aliyochagua
Usajili wa Mario Balotelli kwenda klabu ya Liverpool kutoka AC Milan ya Italia umekamilika rasmi. Uhamisho wa Balotelli kwenda Liverpool umeigharimu klabu hiyo ya Merseysed kiasi cha £16m. Balotelli...
View ArticleZile picha za harusi ya Jaguar, hii ndiyo video yenyewe
Ulipata nafasi ya kuona picha ambazo zilipata uvumi kwamba msanii Jaguar ameoa lakini zilikuwa ni sehemu ya video yake mpya. Wimbo huu unaitwa One centimenter na video imetoka leo 25/8/2014. Enjoy...
View Article