Wakati wakikaribia kumsaini Angel Di Maria kutoka Real Madrid, klabu ya Manchester United leo ilijitupa uwanjani kucheza mechi yake ya pili ya EPL dhidi ya Sunderland. Mchezo huo uliopigwa kwenye dimba la Stadium of Light umeisha kwa sare ya 1-1. Angalia video ya magoli hapa Manchester United vs Sunderland 1-1 by Mylife1972
The post Kama ulimis mchezo wa Man UTD vs Sunderland nimekuwekea video ya magoli hapa appeared first on TZA_MillardAyo.