Ligi kuu ya Hispania maarufu kama La Liga ilianza usiku wa jana kwa mchezo wa kati ya FC Barcelona dhidi ya Elche. Mechi hiyo iliisha kwa ushindi wa magoli 3-0 kwa FC Barcelona – Lionel Messi alianza ligi vizuri kwa kufungua akaunti ya magoli kwa kuweka kambani goli 2, huku kinda Munir akifunga goli lingine....
The post Video: Angalia namna Messi alivyoanza msimu mpya wa La Liga (Barca vs Elche) appeared first on TZA_MillardAyo.