Ulipata nafasi ya kuona picha ambazo zilipata uvumi kwamba msanii Jaguar ameoa lakini zilikuwa ni sehemu ya video yake mpya. Wimbo huu unaitwa One centimenter na video imetoka leo 25/8/2014. Enjoy kuiangalia hapa.
The post Zile picha za harusi ya Jaguar, hii ndiyo video yenyewe appeared first on TZA_MillardAyo.