Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Lingine linalosemwa kwenye uhusiano wa Wema Sepetu na Diamond Platnumz.

$
0
0

Ukubwa wa majina yao unawafanya kila inapoitwa leo kuzungumziwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari kuhusiana na uhusiano wao wa kimapenzi huku stori nyingi zimekuwa zikitoka zinazowahusu. Wiki chache inasemekana uhusiano huu haukuwa kwenye hali nzuri baada ya mashabiki wa Wema kuanza kampeni ambayo ilikua ikimtaka Diamond Platnumz amrejeshe Wema aliyekua akicheza filamu kama zamani. Mezani...

The post Lingine linalosemwa kwenye uhusiano wa Wema Sepetu na Diamond Platnumz. appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles