Mzigo mpya wa iPhone6 umeuona? na saa iliyokuja nayo je? viko hapa
Najua kuna uwezekano ukawa ulisikia fununu sana kuhusu iPhone6 au hata kuona baadhi ya taarifa feki kuhusu simu hii mpya, post hii ni maalum kukuletea taarifa sahihi na ya ukweli kuhusu iPhone6 ambayo...
View ArticleHii ni kwa wale wa Davido, baada ya ‘Aye’ ndio kaiachia hii ft. Dj Arafat
Ni mkali ambae shavu lake kwa Diamond Platnumz halitosahaulika na Mtanzania yeyote aliefikiwa nalo, baada ya hit single yake ya ‘Aye’ right now ni time ya kusikiliza single yake mpya inaitwa ‘naughty’...
View ArticleSauti kutoka bunge la katiba, Musa Azzan na wenzake kuhusu uraia pacha,...
Kazi yangu kuhakikisha hupitwi mtu wangu ndio maana nimekurekodia pia sehemu ya yaliyozungumzwa kwenye bunge la katiba September 9 2014 ambapo kubwa lililozungumzwa na Wajumbe wengi ni ishu ya Uraia wa...
View ArticleShakira ni mjamzito tena… jinsia ya mtoto ajae yajulikana!
Ni kweli kwamba mwimbaji Shakira anatarajia kujifungua mtoto wake wa pili? jibu ni ndio… na hii imethibitishwa na mama yake mzazi. Gazeti la Hola la Hispania limeripoti kwamba mama mzazi wa mwimbaji...
View ArticleLabda hizi video zilizorekodiwa magari yakipata ajali nchi za wenzetu...
Wakati ambapo kampuni mbili za mabasi ya J4 na Mwanza coach zimefungiwa kutokana na mabasi yake kugongana na kusababisha vifo vya watu 39 Musoma Tanzania, ni wakati wa kujifunza na kuchukua tahadhari...
View ArticlePicha 3 za kituo cha Polisi kilichovamiwa Geita alafu Polisi wawili wakauliwa...
Nilisoma moja ya gazeti lililokua limeandikwa IGP atangaza dau la milioni 10 kwa yeyote atakaefichua wanaohusika na uvamizi wa kituo cha Polisi ambao pia walifanya mauaji ya Polisi wake wawili Bukombe...
View ArticleUjio mpya wa Jux umeusikia?kama bado ni huu hapa.
Miongoni mwa mastar wa Tanzania wanaofanya Bongo Fleva ambao wana mashabiki wengi wa kike ni pamoja na Jux inawezekana labda aina ya muziki anaoufanya kuwagusa wasichana wengi. Zimesikika zingle zake...
View ArticleStori kubwa magazetini leo Sept 10 2014 Udaku, Michezo na Hardnews
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku kuanzia ya Udaku, michezo na hardnews kabla ya saa mbili kamili asubuhi, ukishayasoma ya leo unaweza kuwa...
View ArticleHizi ni dakika 17 za uchambuzi wa Mgazeti leo Sept 10 2014.
Kutokana na kuwa busy mtu wangu inawezekana umeshindwa kusikiliza wakati makubwa haya ya leo yakisomwa na kuchambuliwa hewani kwenye kipindi cha Power Breakfast nimeona nikurekodie ili usikie kwa muda...
View ArticleSnura mezani kwa Soudy Brown,kuhusu stori zinazosema kuwa ni mjamzito.
Kupitia singo zake za Majanga,Nimevurugwa na Ushaharibu zimefanya Tanzania na nje ya Tanzania kumfahamu Snura ambaye style ya muziki wake na namna ambavyo anaperfoam on stage imemfanya kuwa na...
View ArticlePicha 2 za ajali ya Kifaru cha Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) iliyoua leo...
Ni taarifa ambayo imethibitishwa pia na kamanda Mpinga na kweli imehusisha kifaru cha Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) saa kumi na moja alfajiri ambapo kifaru kimoja chenye tairi kwenye msafara wa...
View ArticleUliipata ile ya Nabii Tito?leo wamezungumza Dr.Isack Maro na Anti Sadaka.
Kama uliiskiliza Hekaheka ya jana ambayo ilikua ikimhusu Nabii mmoja aliyejipa jina la Nabii Tito anayepatikana maeneo ya sinza,ambapo mahubiri yake yako tofauti na maagizo anayofundisha Mungu kwenye...
View ArticleUsingizi ni noma… huyu jamaa wa Japan naye alitia fora.
Usingizi ni kitu kingine ambacho kinaweza kuwa kigumu kukizuia pale kinapotaka kuchukua nafasi yake, sio ajabu kukutana na mtu kasinzia kwenye daladala, ofisini au darasani ambao wengi tumewaona...
View ArticlePicha 18 za nyumba ya leo… hii ipo Slovakia!
Kuna uwezekano ukawa unataka kuirekebisha nyumba yako, kuijenga au hata unayo ndoto ya kutaka kuishi kwenye nyumba nzuri lakini hujapata design nzuri ya nyumba unayoitaka………. hayo yote unaweza kuyapata...
View ArticleMakubwa ya magazeti ya Tanzania leo Sept 11 2014.. Udaku, Michezo na Hardnews.
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleHii ni kwa wale Wanafunzi waliotaka kujiunga na vyuo vikuu Tanzania
Kwa ufupi ni kwamba Tume ya vyuo vikuu imetangaza kwamba Wanafunzi wapatao elfu 12 wanaotaka kujiunga na elimu ya vyuo vikuu Tanzania wamekosa nafasi za kujiunga na vyuo hivyo kwa sababu ya walichagua...
View ArticleUnapenda Fashion? hizi ni pichaz kutoka Fashion Rocks
Fashion Rocks 2014 ilifanyika kwenye mji wa New York Jumanne ya Sept 9 and it was all about celebrating music and style kwa mujibu wa blogger Necole Bitchie ambapo mastaa kadhaa walitokezea akiwemo...
View ArticleKwenye rekodi za 2014 na hii ya huyu Mungu anaeonekana Kenya imo.
Kituo cha TV cha K24 kiliripoti juu ya uwepo wa Mungu nchini Kenya ambae ibada zinafanyika nyumbani huku yeye mwenyewe akisema ‘Mimi ni Mungu, nimekuja kuvunja mambo yote yaliyoandikwa’ Zaidi mtazame...
View ArticleKama hukusikiliza Magazeti yakisomwa,hapa nimekurekodia yote ya leo Sept 11.
Miongoni mwa stori kubwa katika uchambuzi huu wa leo ni pamoja na ile kesi inayomkabili Daniel Yona ya matumizi mabaya ya fedha za serikali kiasi cha kuiingizia hasara ya shilingi Bilion 11.7 hiyo...
View ArticleSababu za kufukuzwa kazi Rais wa shirikisho la muziki Tanzania.
Hii ni moja ya stori kubwa za Magazeti ya leo Tanzania ambapo gazeti la Uhuru limeandika kwamba Rais wa shirikisho la muziki Tanzania Addo Novemba amefutwa kazi baada ya kuhusika na upotevu wa pesa za...
View Article