Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Shakira ni mjamzito tena… jinsia ya mtoto ajae yajulikana!

$
0
0

Ni kweli kwamba mwimbaji Shakira anatarajia kujifungua mtoto wake wa pili? jibu ni ndio… na hii imethibitishwa na mama yake mzazi. Gazeti la Hola la Hispania limeripoti kwamba mama mzazi wa mwimbaji huyu ndio kaongea na kusema mjukuu wake ajae ni mtoto mwingine wa kiume. Shakira ana umri wa miaka 37 sasa hivi na siku...

The post Shakira ni mjamzito tena… jinsia ya mtoto ajae yajulikana! appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Latest Images

Trending Articles