Kama uliiskiliza Hekaheka ya jana ambayo ilikua ikimhusu Nabii mmoja aliyejipa jina la Nabii Tito anayepatikana maeneo ya sinza,ambapo mahubiri yake yako tofauti na maagizo anayofundisha Mungu kwenye vitabu vyake. Miongoni mwa mambo ambayo aliyazungumza na kuwashangaza watu ni pale alipodai kunywa pombe sio dhambi na hata kuzaa na msichana wako wa kazi yaani House...
The post Uliipata ile ya Nabii Tito?leo wamezungumza Dr.Isack Maro na Anti Sadaka. appeared first on TZA_MillardAyo.