Miongoni mwa stori kubwa katika uchambuzi huu wa leo ni pamoja na ile kesi inayomkabili Daniel Yona ya matumizi mabaya ya fedha za serikali kiasi cha kuiingizia hasara ya shilingi Bilion 11.7 hiyo pamoja na mengine yote yanasomwa na kuchambuliwa na PJ. 96.5 Clouds Fm inasikika ukiwa Geita. Bonyeza play kusikiliza.
The post Kama hukusikiliza Magazeti yakisomwa,hapa nimekurekodia yote ya leo Sept 11. appeared first on TZA_MillardAyo.