Ni mkali ambae shavu lake kwa Diamond Platnumz halitosahaulika na Mtanzania yeyote aliefikiwa nalo, baada ya hit single yake ya ‘Aye’ right now ni time ya kusikiliza single yake mpya inaitwa ‘naughty’ Umeionaje hii single? niachie maoni yako kwenye comments mtu wangu Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu na niko tayari kukutumia...
The post Hii ni kwa wale wa Davido, baada ya ‘Aye’ ndio kaiachia hii ft. Dj Arafat appeared first on TZA_MillardAyo.