Wakati wakikaribia kumsaini Angel Di Maria kutoka Real Madrid, klabu ya Manchester United leo ilijitupa uwanjani kucheza mechi yake ya pili ya EPL dhidi ya Sunderland. Mchezo huo uliopigwa kwenye dimba la Stadium of Light umeish kwa sare ya 1-1. Manchester walitangulia kufunga kupitia Juan Mata lakini dakika chache baadae Jack Rodwell akaisawazishia Sunderland. Mpaka...
The post EPL: Matokeo ya mechi ya Man U vs Sunderland haya hapa appeared first on TZA_MillardAyo.