Baada ya mechi za mchana, ligi kuu ya England imeendelea usiku huu kwa mchezo mmoja kati ya Everton waliowakaribisha Arsenal. Matokeo ya mchezo huo uliopigwa kwenye dimba la Goodison Park ni sare ya 2-2. Angalia video ya magoli hapa Arsenal vs Everton 2-2 by Mylife1971
The post Kama ulimis mechi ya Arsenal vs Everton – nimekuwekea video ya magoli hapa appeared first on TZA_MillardAyo.