Quantcast
Channel: Millard Ayo
Browsing all 31461 articles
Browse latest View live

Unayataka makubwa ya leo May 19 2014 Magazetini Tanzania? yako hapa

Ni utaratibu wa millardayo.com kukupatia stori kubwa za Magazeti ya Tanzania kila siku kabla ya saa mbili kamili asubuhi kutoka kwenye kurasa za kila gazeti kuanzia ya Udaku, Michezo na hardnews kurasa...

View Article


Sekunde 20 za Mzee Majuto kwenye movie mpya ya ‘Mama Ntilie’

Kutana na Mzee Majuto ambae ni mchekeshaji wa longtime Tanzania, hizi ni sekunde 20 za sehemu aliyoigiza kwenye movie ya ‘Mama Ntilie’ ya Irene Paul ambayo sasa hivi naambiwa iko dukani tayari....

View Article


Za Diamond na Ommy Dimpoz London. (Pichaz na video)

Diamond alikwenda Uingereza kwa ajili ya kufanya video ya wimbo wake na Iyanya ambayo imegharimu zaidi ya dola za kimarekani elfu 20 (zaidi ya milioni 30 za Tanzania) kutokana na ukubwa wa director...

View Article

Rais wa nchi alietokwa machozi akilihutubia taifa kwenye TV.

Huwa matukio kama haya au hisia kama hizi sio rahisi kuonekana waziwazi kwa kiongozi wa nchi pale anapohutubia au kuzungumza na Taifa kwa njia ya TV. Imetokea kwa rais wa Korea Kaskazini Park Geun-hye...

View Article

Tumia dakika hizi 17 kusikiliza Magazeti yakisomwa Redioni Mei 19.

Kama umefanikiwa kupitia vichwa mbalimbali vya habari,Hapa nimekurekodia magazeti yakisomwa na kuchambuliwa kwenye Power Breakfast leo Mei 19 yakisomwa na PJ kwenye Powr Breakfast muda wowote ukipata...

View Article


Kwa hiyo Wachina wamekuja na hii sio ?!!

Unaambiwa Wachina wameamua kuonyesha maajabu mengine kwa kufanya begi kuwa baiskeli tena ikiwa na uwezo wa kubeba mtu mmoja na ikiwa ni baiskeli yenye ufanyaji kazi kama wa pikipiki. Sanduku hili...

View Article

Hizi ni pichi 2 zinazopata comments na likes nyingi kwenye page ya @Shaa_tz

Kama unam-follow kwenye instagram @Shaa_tz basi utakuwa umesha like au kuona jinsi comment na like nyingi zinazopata picha hizi. Sarah Kaisi amepost picha mbili akiwa kwenye boti, kama vipi zicheki...

View Article

Kurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo June 01 2013

Ni utaratibu wa millardayo.com kukupatia stori kubwa za Magazeti ya Tanzania kila siku kabla ya saa mbili kamili asubuhi kutoka kwenye kurasa za kila gazeti kuanzia ya Udaku, Michezo na hardnews kurasa...

View Article


Mama mzazi wa mbunge Zitto Kabwe amefariki dunia.

Ni taarifa nilizopata asubuhi ya June 1 2014 kuhusu kifo cha mama mzazi wa mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe aitwae Bi Shida ambapo aliethibitisha kifo hicho ni Zitto Kabwe mwenyewe....

View Article


Taarifa nyingine kuhusu yule mwanamke wa Sudan aliyefungwa jela kutokana na...

Headlines za dunia pia zimegonga sana kwenye siku hizi za karibuni kuhusu mwanamke wa Sudan ambae amekua akisubiria hukumu ya kunyongwa kwa kosa la kuolewa na mume mkristo huku dini ya baba yake ikiwa...

View Article

Nicki Minaj asema siku moja atafunga ndoa na rapa huyu

Nicki Minaj amejibu swali hili kwa uhakika kabisa bila wasiwasi wowote na kuwa gumzo tena.Minaj akiwa anafanya interview na magazine ya I-D moja ya majibu yake yana make headline hivi sasa kwenye...

View Article

Ulimis You heard na Hekaheka ya Mei 30,sikiliza hapa.

Muda mwingine teknolojia inasumbua kupandisha hizi sauti kwa muda maalum lakini ahadi yangu kwako iko pale pale kuhakikisha hupitwi na kitu chochote kinachonifikia iwe usiku au mchana. Kwenye You heard...

View Article

Show ya Kili music tour Mwanza jana.. @MwasitiJ @OmmyDimpoz, @VanessaMdee...

Kili tour bado inaendelea na list ndefu ya wasanii wamewafurahisha wakazi wa Mwanza 88.1 kwa show kali jana May 31 2014 ikiwa ni Tour ambayo inawajumuisha washindi na washiriki mbalimbali wa tuzo za...

View Article


Matokeo ya Tanzania vs Zimbabwe na wafungaji magoli – ingia hapa

Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imefanikiwa kuvuka hatua ya kwanza ya michuano ya kuwania kucheza michuano ya kombe la mataifa huru ya Afrika linalotarajiwa kufanyika mwakani. Stars leo ilikuwa...

View Article

Taarifa rasmi ya Yanga kuhusu uwenyekiti wa Manji na kocha Maximo

Mkutano Mkuu wa marekebisho ya baadhi ya vipengele kwenye Katiba ya Yanga umefanyika na kumalizika salama na furaha kwenye Ukumbi wa Bwalo la Polisi -Oysterbay  Dar es salaam huku wanachama wakipitisha...

View Article


Mtoto wa Pele amehukumiwa kwenda jela aisee

Edson Cholbi do Nascimento maarufu kama Edinho ni mchezaji soka mstaafu aliyecheza kama mlinda mlango katika klabu ya Santons ambayo Pele alicheza miaka ya 90. Unaambiwa mtoto wa Pele mwenye umri wa...

View Article

Picha za airport wakati mwili wa Marehemu Mama Zitto Kabwe ukisafirishwa...

Bi Shida ambae ni mama mzazi wa mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe alifariki dunia hospitali Dar es salaam June 1 2014 alikokua amelazwa katika chumba cha uangalizi maalum (ICU) Unaweza kujiunga na...

View Article


Kama unapenda music kutoka kwa Drake, hii ni track mpya kutoka kwake.

Drake member wa Young Money ambaye ana mashabiki wengi duniani ametoa wimbo mpya kwa ghafla bila ya kutoa teaser yoyote. Kama wewe ni shabiki wake hapa kuna wimbo mpya unaitwa “0 to 100/The Catch Up”...

View Article

P.Diddy kuja na hii nyingine akiwa na Meek Mill, cheki trailer yake.

Rapper na mjasiriamali Sean Diddy Combs mwaka huu ameamua kurudi kwenye muziki kwa nguvu zote akitoa nyimbo tofauti. Miezi michache iliyopita alitoa wimbo wa Big Homie akiwa na Rick Ross. Hivi sasa...

View Article

Cheki video ya kituko kipya cha Mike Sonko alivyomuweka rais Uhuru Kenyetta...

Mike Sonko ni mwanasiasa maarufu nchini Kenya kwa kuwa na muonekano wa kiujana zaidi au unaweza kusema ni kisharobaro ziadi. Sonko anapenda kupendeza kwa kuvaa kofia,vito vya thamani,T shirts za...

View Article
Browsing all 31461 articles
Browse latest View live