Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Kwa hiyo Wachina wamekuja na hii sio ?!!

$
0
0

Unaambiwa Wachina wameamua kuonyesha maajabu mengine kwa kufanya begi kuwa baiskeli tena ikiwa na uwezo wa kubeba mtu mmoja na ikiwa ni baiskeli yenye ufanyaji kazi kama wa pikipiki. Sanduku hili ambalo lina matairi mawili lina uwezo wa kwenda umbali wa Kilomita zisizopungua 60 kwa kasi ya Kilomita 20 kwa saa na linatumia nishati ya...

The post Kwa hiyo Wachina wamekuja na hii sio ?!! appeared first on TZA.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles