Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Cheki video ya kituko kipya cha Mike Sonko alivyomuweka rais Uhuru Kenyetta loudspeaker

$
0
0

Mike Sonko ni mwanasiasa maarufu nchini Kenya kwa kuwa na muonekano wa kiujana zaidi au unaweza kusema ni kisharobaro ziadi. Sonko anapenda kupendeza kwa kuvaa kofia,vito vya thamani,T shirts za kisasa,jeans na wakati mwingine kupaka rangi nywere zake. Nyakati tofauti seneta huyu amehusishwa kwenye vituko mbalimbali, hivi sasa kituko chake kilicho-make headline ni pale alipomuweka...

The post Cheki video ya kituko kipya cha Mike Sonko alivyomuweka rais Uhuru Kenyetta loudspeaker appeared first on TZA.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles