Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Ulimis You heard na Hekaheka ya Mei 30,sikiliza hapa.

$
0
0

Muda mwingine teknolojia inasumbua kupandisha hizi sauti kwa muda maalum lakini ahadi yangu kwako iko pale pale kuhakikisha hupitwi na kitu chochote kinachonifikia iwe usiku au mchana. Kwenye You heard inamhusu Ney wa mitego na stori ni sababu iliyosababisha kutengana na mzazi mwenzake,ambaye pia kaeleza sababu zilizosababisha ingawa Soudy Brown taarifa iliyomfikia ni kuwa pombe...

The post Ulimis You heard na Hekaheka ya Mei 30,sikiliza hapa. appeared first on TZA.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461