Kili tour bado inaendelea na list ndefu ya wasanii wamewafurahisha wakazi wa Mwanza 88.1 kwa show kali jana May 31 2014 ikiwa ni Tour ambayo inawajumuisha washindi na washiriki mbalimbali wa tuzo za KTMA 2014. Asante kwa ripota wa nguvu Shafiq alietuma hizi picha, unaweza kujiunga nae kwenye twitter kwa kubonyeza HAPA Use Facebook to...
The post Show ya Kili music tour Mwanza jana.. @MwasitiJ @OmmyDimpoz, @VanessaMdee @FidQ @Iam_Benpol appeared first on TZA.