Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Nicki Minaj asema siku moja atafunga ndoa na rapa huyu

$
0
0

Nicki Minaj amejibu swali hili kwa uhakika kabisa bila wasiwasi wowote na kuwa gumzo tena.Minaj akiwa anafanya interview na magazine ya I-D moja ya majibu yake yana make headline hivi sasa kwenye internet. Jibu hilo ni kuhusu mwanaume bora zaidi na kwa haraka Nicki alisema siku moja ataondoka na Drake wakafunge ndoa kwasababu huyo ndiyo...

The post Nicki Minaj asema siku moja atafunga ndoa na rapa huyu appeared first on TZA.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Latest Images

Trending Articles