Mkutano Mkuu wa marekebisho ya baadhi ya vipengele kwenye Katiba ya Yanga umefanyika na kumalizika salama na furaha kwenye Ukumbi wa Bwalo la Polisi -Oysterbay Dar es salaam huku wanachama wakipitisha kipengele cha kuundwa kwa kamati ya maadili. Mwenyekiti wa klabu ya Yanga SC Yusuf Manji amewaongoza wanachama hai 1,560 kupitisha kipengele hicho kipya kwa...
The post Taarifa rasmi ya Yanga kuhusu uwenyekiti wa Manji na kocha Maximo appeared first on TZA.