Hiki hapa kikosi cha Spain kitakachoenda Brazil kutetea ubingwa wa dunia
Jana tulishuhudia kikosi cha timu ya taifa ya England kikitangazwa kwa ajili ya kwenda kwenye michuano ya kombe la dunia huko Brazil, leo hii kocha wa timu ya taifa ya Spain Vicente Del Bosque nae...
View ArticleHuu ni muendelezo wa Hekaheka iliyoanza Mei 12.
Jana alisikika mtoto wa mama mwenye nyumba ambaye Mama yake ndiye aliyeuwawa na mpangaji wake kisa kikiwa ni mwiko,tochi,tambi za jiko na Radio ambapo alimpiga shoka la kichwani,hapa kazungumza...
View ArticleUchaguzi Simba: Godfrey Nyange Kaburu ampata mpinzani umakamu wa rais
Homa ya uchaguzi mkuu wa Simba inazidi kupanda, baada ya jana Evans Aveva na Micheal Wambura kuchukua fomu za kugombea uraisi wa klabu ya Simba SC, leo wanachama maarufu wa klabu hiyo Godfrey Nyange...
View ArticleSikiliza wimbo mpya wa Black Rhyno aliomshirikisha Albert Mangwea – Lookie...
Teknolijia bado inatumika hapa kashirikishwa Albert Mangwea inawezekana wimbo wa zamani ila umechelewa kutoka,ni wimbo wa Black Rhyno kamshirikisha Albert Mangwea na GoodFather unaitwa Lookie...
View ArticleBaada ya stori za Kipre Tchetche kwenda Yanga, Azam FC wamesema hivi
Karibia magazeti yote ya michezo leo hii yameripoti taarifa za mchezaji wa kimataifa wa Ivory Coast anayekipiga Azam FC kuwa mbioni kwenda Yanga taarifa ambazo zilijibiwa saa chache na Azam FC kupitia...
View ArticleSingle mpya ya Nikki wa II ft G Nako na Ben Pol ‘sitaki kazi’ imetoka,...
Single ya mwisho Nikki wa II kuitoa kama solo artist kutoka WEUSI ni ‘nje ya box’ ambayo ndio imempa tuzo moja ya KTMA 2014 kama wimbo bora wa hiphop 2013…. Bonyeza play hapa chini kusikiliza single...
View ArticleKingine kutoka kwa Wema Sepetu,sikiliza kupitia You heard ya leo Mei 13.
Kuna story mpya ambayo imetoka kupitia You heard ya leo na hii inamhusu Wema Sepetu,inasemekana kuwa ameshindwa kutoa gari lake ambalo lipo Garage kwa zaidi ya wiki moja na taarifa hii ni kutoka kwa...
View ArticleUnamkumbuka jamaa aliyekuwa mkalimani kwenye msiba wa Mandela?kapata dili hii.
Ni jamaa ambaye dunia ilimtambua kwenye mazishi ya Hayati Mzee Nelson Mandela mwaka jana ambaye kazi yake ilikua ni kutafsiri lugha za ishara ambaye baadae aliinga kwa headline na vyombo mbalimbali vya...
View ArticleMwenye asili ya Kenya anaetegemewa kucheza kombe la dunia 2014
Mshambuliaji Divock Origi ambaye ni mtoto wa aliyekua mchezaji wa timu ya harambee stars ya Kenya Mike Okoth ametajwa kwenye ikosi cha wachezaji 24 watakaoiwakilisha Ubelgiji katika mechi za kombe la...
View ArticleFaini aliyotozwa yule mmiliki wa lile gari lililohusika na mlipuko wa Al...
Mmiliki wa gari lililolipuliwa na watuhumiwa wa kundi la Al Shabaab ameachiwa huru baada ya kutozwa faini ya shilingi milioni zaidi ya 18 za Kitanzania. Ahmed Dugal Ali ameshtakiwa kwa kosa la...
View ArticleIongezee na hii kwenye playlist yako ya South Africa.
Muziki wa Afrika Kusini ni sehemu nyingine ya burudani inayomiliki playlist za nchi mbalimbali za Afrika ikiwemo Tanzania ambako harusi/sherehe nyingi bila kugusa nyimbo flani za harusi bado haijanoga....
View ArticleKurasa za mwanzo na mwisho Magazetini leo Mei 14 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kukupatia stori kubwa za Magazeti ya Tanzania kila siku kabla ya saa mbili kamili asubuhi… ili nikutumie kila stori inayonifikia unaweza kujiunga na mimi twitter kwa...
View ArticlePost ya Aunt Ezekiel kuhusu homa ya Dengue.
Kasi ya maambukizi ya ugonjwa wa Dengue ambao unamiliki headlines sasa hivi Tanzania hasahasa Dar es salaam imesababisha baadhi ya watu wakiwemo mastaakubadilisha hata aina ya mavazi kama...
View ArticleVideo ya tangazo jipya la Rooney ambalo hata ukipaki basi ni shidaah!
Mtindo wa kupaki basi ikimaanisha kwamba kulinda goli kwa wachezaji wengi ambao umetumiwa na kocha Jose Mourinho na timu yake ya Chelsea ulichukua headlines sana mpaka akawa analalamikiwa na baadhi ya...
View ArticleMabibi na mabwana… single ya @Victoria_Kimani ft. Diamond na Ommy Dimpoz imetoka
Headlines zake sio nyingi sana Afrika Mashariki ila zimekua na uzito kila zinapotoka ambapo this time kaachia single yake ft. Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz. Victoria Kimani atapita hapa usiku wa saa...
View ArticleNi Diamond tena… sasa hivi amechaguliwa kwenye hizi tuzo za BET Marekani.
Ilikua stori kubwa pale Diamond Platnumz alipotangazwa kushiriki kwenye tuzo za MTV Base (Mama Awards) kikiwa ni kituo kingine kikubwa cha burudani Afrika. Leo hii Diamond Platnumz ameingia kwenye...
View ArticleManeno ya mastaa 12 wa bongo na Kenya baada ya Diamond kuchaguliwa tuzo za...
Mastaa wengine waliotoa yao ya moyoni ni pamoja na mpenzi wake Diamond… Wema Sepetu, Ay, Young D, Salama Jabir, Madee na wengine akiwemo Belle 9 alieandika >>> ‘kwa hatua hii tuseme thanks God...
View ArticleMsikilize Mbwiga wa Mei 14 hapa.
Huu mtekenyo wa Mbwiga wa Mbiwguke leo umekumbuka mechi iliyochezwa kati ya Yanga na Maji Maji na Songea Mbwiga kataja list ya timu hizo pamoja na matokeo yaliyotokea pamoja na vitu vilivyohusisha...
View ArticleKwako mtu wangu unaependa michezo ya magari
Kuna wale ambao hawanywi pombe, hawapendi mpira wala hawako kwenye starehe nyingine zilizozoeleka mfano hii ya magari ambayo ina watu wake nayo. Use Facebook to Comment on this Post The post Kwako...
View ArticleKitachomkuta yeyote anaetuma picha za uchi facebook na twitter Kenya, ripoti...
Ni kawaida sasa hivi kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii na baadhi ya blogs na website kuweka picha za uchi au mitandao ambayo imekua maalum kwa ajili ya kueneza picha na video zikionyesha watu...
View Article