Kasi ya maambukizi ya ugonjwa wa Dengue ambao unamiliki headlines sasa hivi Tanzania hasahasa Dar es salaam imesababisha baadhi ya watu wakiwemo mastaakubadilisha hata aina ya mavazi kama ilivyoshauriwa ili kukwepa Mbu wanaoeneza ugonjwa wenyewe hata mchana. Kutoka kiwanda cha filamu Bongo mastaa wa filamu Tanzania Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wamepost picha leo wakionekana...
The post Post ya Aunt Ezekiel kuhusu homa ya Dengue. appeared first on TZA.