Teknolijia bado inatumika hapa kashirikishwa Albert Mangwea inawezekana wimbo wa zamani ila umechelewa kutoka,ni wimbo wa Black Rhyno kamshirikisha Albert Mangwea na GoodFather unaitwa Lookie Lookie,endelea kuwa karibu na millardayo.com utafahamu namna wimbo huu ulivyorekodiwa. Bonyeza play kusikiliza. Use Facebook to Comment on this Post
The post Sikiliza wimbo mpya wa Black Rhyno aliomshirikisha Albert Mangwea – Lookie Lookie. appeared first on TZA.