Karibia magazeti yote ya michezo leo hii yameripoti taarifa za mchezaji wa kimataifa wa Ivory Coast anayekipiga Azam FC kuwa mbioni kwenda Yanga taarifa ambazo zilijibiwa saa chache na Azam FC kupitia Facebook baada ya magazeti kutoka. Stori kama hizi ni halali yako zisikupite… niko tayari kukutumia kwenye twitter instagram na facebook, jiunge na mimi...
The post Baada ya stori za Kipre Tchetche kwenda Yanga, Azam FC wamesema hivi appeared first on TZA.