Mmiliki wa gari lililolipuliwa na watuhumiwa wa kundi la Al Shabaab ameachiwa huru baada ya kutozwa faini ya shilingi milioni zaidi ya 18 za Kitanzania. Ahmed Dugal Ali ameshtakiwa kwa kosa la kuchangia kutekelezwa kwa ugaidi huo kwa kutoa gari lake lililolipuka na kuwaua polisi wawili katika kituo cha pangani Nairobi Aprili 23 2014. Mbali...
The post Faini aliyotozwa yule mmiliki wa lile gari lililohusika na mlipuko wa Al shabaab Kenya. appeared first on TZA.