Jana tulishuhudia kikosi cha timu ya taifa ya England kikitangazwa kwa ajili ya kwenda kwenye michuano ya kombe la dunia huko Brazil, leo hii kocha wa timu ya taifa ya Spain Vicente Del Bosque nae ametaja kikosi cha awali cha nchi hiyo kitakachoenda Brazil kutetea ubingwa wao wa dunia. KIKOSI KIPO KAMA IFUATAVYO Goalkeepers: Iker...
The post Hiki hapa kikosi cha Spain kitakachoenda Brazil kutetea ubingwa wa dunia appeared first on TZA.