Mastaa wengine waliotoa yao ya moyoni ni pamoja na mpenzi wake Diamond… Wema Sepetu, Ay, Young D, Salama Jabir, Madee na wengine akiwemo Belle 9 alieandika >>> ‘kwa hatua hii tuseme thanks God ni historia kubwa kwa muziki wetu tofauti na ulipotoka mpaka hapa saluut Diamond Platnumz’ Unataka nikuletee kila stori? jiunge na mimi twitter...
The post Maneno ya mastaa 12 wa bongo na Kenya baada ya Diamond kuchaguliwa tuzo za BET 2014 appeared first on TZA.