Maamuzi ya Rais Uhuru Kenyatta kupunguza mshahara wake na wa mawaziri.
Taarifa ikufikie kwamba Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza kupunguza mshahara wake na wa Makamu wake William Ruto kwa asilimia 20 na mshahara wa Mawaziri utapunguzwa kwa asilimia 10. President...
View ArticleKalamu ya Nikki wa II, ‘UZAZI SALAMA NI HAKI SIYO BAHATI’
Tafiti zinaonesha kuwa kidunia kila mwaka wanawake 529,000 hufariki dunia kutokana na matatizo ya uzazi wakati wa kujifunguwa ama wakati wa ujauzito. Tanzania ni Moja Wapo kati ya nchi 10 zinazo...
View ArticleHabari kumi za Amplifaya March 7 2014
Amplifaya ni show inayosikika kupitia Clouds FM kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa saa moja usiku ikiwa na mkusanyiko wa habari kumi kubwa za siku kutoka kwenye siasa, muziki, michezo, movies na mengine....
View ArticleUkiwa kwenye club ya usiku Dubai, ikifika saa tisa inakua hivi.. fahamu mengi...
Unaambiwa Dubai kuna club za usiku za aina mbalimbali zikiwemo za kawaida na za wale matajiri sana na pia kuna club za watu maarufu kama Movida na Mahiki ambazo zinakuwa na matawi mbalimbali duniani....
View ArticleInspector Haroon anamshukuru Mungu kwa kumjalia kipato kilichompa hili gari...
Inspector Haroon ambae ni msanii wa bongoflevani kwa muda mrefu toka time hiyo yuko na mshkaji wake Luteni Kalama kwenye kundi la Gangwe Mobb, ameshea picha ya gari analotumia sasa hivi na kumshukuru...
View ArticleWanaume juu ya high heels wakicheza nyimbo za Beyonce na Rihanna.
Wanasema Beyonce ni miongoni mwa mastaa wachache wa muziki ambao wanaongoza kwa kuwa na mashabiki wa kila aina kwa sasa. Mara nyingi watu mbalimbali duniani wamekua wakitumia mtindo wa kuweka video...
View ArticleVideo nyingine ya Nigeria iliyofanywa kwenye mazingira ya kiafrika. @yemialadee
Clarence ambae ndio alihusika kuitengeneza video ya Diamond na Davido ndio amehusika kuitengeneza hii video ya Yemi Alade inaitwa ‘Johnny’ Use Facebook to Comment on this PostThe post Video nyingine ya...
View ArticleKenya kuna gazeti moja tu la Kiswahili… litazame hapa.
Tanzania na Kenya ndio nchi pekee za Afrika Mashariki ambazo zinaongoza kwa kuzungumza sana lugha ya Kiswahili tofauti na Rwanda, Burundi na Uganda. Katika vitu ambavyo nilikua sivijui ni pamoja na hii...
View ArticleQueen Darleen+Diamond Platnumz=?
Unaweza kukosa jibu la haraka haraka ukiulizwa swali hilo lakini pengine jibu la swali na kiu ya mashabiki wa muziki itakatwa baada ya kukamilika kwa kazi itakayowaunganisha ndugu hao wa damu ambapo...
View ArticleKauli ya MOI Muhimbili kuhusu ishu ya yule Mgonjwa alieshushwa kwa makusudi...
Siku kadhaa zilizopita maeneo ya Mwananyamala aliokotwa mtu anaitwa Yusuf ambae wakazi wa eneo husika walidai kushuhudia mtu huyu akitelekezwa na gari la Wagonjwa la kitengo cha mifupa Muhimbili (MOI)...
View ArticleKwako ambae hujapata matokeo ya mechi za Chelsea na Man United March 8 2014
Hii ni time yako wewe mtu wangu ulieshindwa kutazama mechi hizi muhimu au kushindwa kupata matokeo kutokana na ubize wa chochote kilichokuteka… millardayo.com ipo kwa ajili yako. Use Facebook to...
View ArticlePichaz za @NyamaChomaFest zikiwemo za washindi wanaokwenda na mtu wa nguvu...
Hii ni sehemu nyingine inayowakutanisha watu wengi kwa sasa, yani ni kitu kipya ambacho kimepata mapokezi makubwa ndani ya muda mfupi tena kwenye mikoa mbalimbali Tanzanai Dar es salaam ikiwemo. Upande...
View ArticleYote kuhusu huyu abiria aliejichinja kwa makusudi kwenye hili basi akitokea...
Hii ni habari ya kushangaza kabisa na pengine ni kwa mara ya kwanza kusikika kuhusu abiria aliyejichinja kwa makusudi ndani ya Basi akitokea Lindi kwenda Dar es salaam kwenye basi la kampuni ya Maning...
View ArticleKurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo March 09 2014 Michezo na Hardnews
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania. Use Facebook to Comment on this PostThe post Kurasa za mwanzo na mwisho...
View ArticleHii ndiyo kampuni inayowavalisha Taifa Stars kwa sasa.
Kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ambapo taarifa ikufikie kuwa wamefikia makubaliano na kampuni ya Adidas kupitia msaada wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kupatiwa vifaa vya...
View ArticleTaarifa kuhusu kuugua kwa Haruna Niyonzima akiwa Misri
Mchezaji tegemezi wa klabu ya Yanga Haruna Niyonzima ameugua ghafla akiwa huko jijini Alexandria Misri wakati timu yake ikijiandaa na mchezo wa marudiano dhidi ya Al Ahly utakaopigwa muda mchache...
View ArticleHii ndio nyumba ya kwanza ya David Beckham alipoanza kujitegemea
Kabla ya kuwepo kwa jumba aliloiita Beckingham Palace kulikuwa na nyumba ya kawaida ya vyumba vinne iliyopo huko Wosrsley lakini hivi sasa nyumba hiyo iliyopo barabara ya Hazlehurst, iliyonunuliwa na...
View ArticleKitu kizuri kwa ajili yenu wakazi wa Buzuruga Mwanza kutoka NMB.
Benki yako NMB imezindua rasmi tawi la Buzuruga mkoani Mwanza tawi hili likiwa ni tawi la tisa kuzinduliwa katika mkoa wa huo huku NMB ikiendelea kuwa ndo benki yenye matawi mengi zaidi Tanzania....
View ArticleUmesikia kuhusu Housegirl aliyetaka kumuua mtoto bila sababu?sikiliza hapa.
Hivi ni vitu ambavyo vinatokea mitaani na kwenye majumba mbalimbali ambapo miongoni mwa wasaidiz wa kazi za nyumbani[Housegirl]wamekua si waadilifu na kazi yao hali inayowapelekea kufanya vitu tofauti...
View ArticleKuwa wa mwanzo kuusikiliza wimbo mpya wa Roma Mkatoliki-KKK.
Huu ni wimbo wa Roma ambao Teaser yake ilianza kuonekana wiki iliyopita kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii,jina la wimbo unaitwa KKK umefanyika Tongwe Records,kashirikishwa msanii mchanga kabisa...
View Article