Benki yako NMB imezindua rasmi tawi la Buzuruga mkoani Mwanza tawi hili likiwa ni tawi la tisa kuzinduliwa katika mkoa wa huo huku NMB ikiendelea kuwa ndo benki yenye matawi mengi zaidi Tanzania. Akizungumza katika sherehe ya ufunguzi huo Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Mh. Baraka Konisaga ameipongeza benki ya NMB kwa hatua nyingine iliyopiga...
The post Kitu kizuri kwa ajili yenu wakazi wa Buzuruga Mwanza kutoka NMB. appeared first on TZA.