Kabla ya kuwepo kwa jumba aliloiita Beckingham Palace kulikuwa na nyumba ya kawaida ya vyumba vinne iliyopo huko Wosrsley lakini hivi sasa nyumba hiyo iliyopo barabara ya Hazlehurst, iliyonunuliwa na staa wa soka David Beckham katika miaka ya tisini, ipo sokoni na inategemewa kuuzwa kwa kiasi cha kuanzia £375,000 mpaka £400,000 itakapopigwa mnada March 19....
The post Hii ndio nyumba ya kwanza ya David Beckham alipoanza kujitegemea appeared first on TZA.