Hii ni habari ya kushangaza kabisa na pengine ni kwa mara ya kwanza kusikika kuhusu abiria aliyejichinja kwa makusudi ndani ya Basi akitokea Lindi kwenda Dar es salaam kwenye basi la kampuni ya Maning Nice. Basi hilo lenye namba za usajili T574 CQD ambalo linafanya safari zake za Dar es salaam na Mtwara saa 6...
The post Yote kuhusu huyu abiria aliejichinja kwa makusudi kwenye hili basi akitokea Lindi-Dsm. appeared first on TZA.