Quantcast
Channel: Millard Ayo
Browsing all 31461 articles
Browse latest View live

Picha za Ommy Dimpoz aki-shoot video ndani ya London

Omari Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz kwa muda mrefu yupo London ambapo ametumia muda huo kuangalia mechi za ligi ya uingereza pamoja na kuhudhuria show ya Beyonce na Jay Z Kitu kingine kilichomfanya...

View Article


Sikiliza wimbo mpya wa Snura Ushaharibu.

Huu ni wimbo mpya wa Snura unaitwa Ushaharibu ni wimbo wa pili baada ya Nimevurugwa ambao wimbo huo umeingia kwenye headline za kufungiwa wiki chache zilizopita,video ya wimbo huu umekwifanywa na Adam...

View Article


Hii ni kuhusu tuhuma mpya za Cosmas Chidumule zinazomkabili.

Leo Soud Brown ame-amplify taarifa zinazomhusu muimbaji wa nyimbo za Injili Cosmas Chidumule ambazo inasemekana kakiuka makubaliano waliyokubaliana na msambazaji wa kazi huko Njombe,sikiliza kupitia...

View Article

Huu ndiyo wizi unaotumika kwenye mitungi ya Gesi.

Kama mtumiaji wa Gesi labda ukiwa nyumbani au kazini kuna wakati unahisi labda gesi inawahi kuisha au mara kadhaa umekua ukiwalaumu wapishi au wasichana wa kazi kwa kuhisi wana matumizi mabaya ya...

View Article

Barcelona yamsajili golikipa mpya kumrithi Valdes

Klabu ya FC Barcelona imetangaza kufikia makubaliano na  Borussia Monchengladbach juu ya uhamisho wa golikipa  Marc-Andre ter Stegen kwa ada inayokaribia kiasi cha €9-12 million pamoja na kucheza mechi...

View Article


Baada ya Kimya cha kimuziki,huu ndiyo ujio mpya wa Roma Mkatoliki.

Roma ni miongoni mwa wasanii ambao wanatoa nyimbo chache sana kwa mwaka mzima au pengine katika mwaka mzima akatoa wimbo mmoja tu,kumbukumbu ya wimbo wa mwisho kuuachia ulikua unaitwa 2030 ambao...

View Article

Sikiliza Hekaheka ya leo hapa.

Hii Hekaheka ilishatokea wiki chache nyuma zikimhusisha msichana wa umri wa miaka 13 ambaye alitangazwa kupotea,hatimaye kapatikana lakini sehem aliyokuwepo kwa kipindi chote hiko ndipo utata...

View Article

Vifahamu vituo viliyopewa Onyo kali na Tcra.

Leo March 07 Kamati ya maudhui ilikua na kikao cha kusoma uamuzi dhidi ya vituo vilivyokiuka kanuni za utangazaji,akisoma uamuzi huo mbele ya waandishi wa Habari Mwenyekiti wa Kamati maudhui ya Tcra...

View Article


Cheki jinsi wachezaji wa Chelsea wakiicheza Tupogo ya Ommy Dimpoz.

Muziki wa Bongo Fleva bado unaonekana ukiendelea kupata nafasi utazidi kuonyesha maajabu zaidi kwa mifano hai inayoonekana kupitia mataifa mbalimbali ambayo hayana utaratibu wa kuongea kiswahili au...

View Article


Adhabu walizopigwa Simba na Amissi Tambwe kwa uchawi na utovu wa nidhamu

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeipiga faini ya jumla ya sh. milioni moja klabu ya Simba kutokana na makosa mbalimbali ikiwemo vitendo vinavyoashiria ushirikina uwanjani. Simba ilifanya vitendo...

View Article

Barua ya Moyes kwenda kwa mashabiki wa Manchester United.

Kocha wa Manchester United David Moyes ameandika barua ya wazi kwa mashabiki wa klabu hiyo akielezea kwamba msimu wake wa kwanza ndani ya klabu umekuwa m’bovu zaidi kuliko ilivyotegemewa. Akiwasifu...

View Article

Ratiba ya ligi kuu ya Vodacom wiki hii hii hapa, fahamu Simba anakipiga na nani?

Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) inaendelea kesho (Machi 8 mwaka huu) kwa mechi tatu ambapo Coastal Union itaumana na Ashanti United kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga. Ruvu Shooting itaikaribisha Oljoro...

View Article

Umesikia alichokifanya Ben Pol Dodoma?sikiliza kupitia You Heard ya leo March...

Huu ni mtiririko wa matukio yanayomfikia Gossip Cop Soud Brown,leo tukio lililofikishwa mezani kwake ni la Ben Pol kuchukua pesa ya show na kisha kutoonekana kwenye show yenyewe iliyokuwa imeandaliwa...

View Article


Jinsi Jiko la Gesi lilivyoiteketeza nyumba hii March 06 Mwanza.

Huu ni moto ambao umetokea asubuhi ya March 06 majira ya saa 5 mtaa wa Majengo wilayani Misungwi mkoani Mwanza na chanzo chake kimeeleza ni Jiko la Gesi. Moto huo wa Jiko hilo la gesi ulilipuka na...

View Article

Fahamu ni kiasi gani Arsenal wametaka kama fidia ya Wilshare kuumia

Siku moja baada ya kuthibitika kwamba Jack Wilshare atakaa nje ya uwanja wa takribani wiki 8 baada ya kuumia katika mchezo wa kirafiki kati ya England na Denmark, klabu ya Arsenal imekiandikia chama...

View Article


Huyu ndiye Mwanaume anasemekana kutoka na Lupita Nyong’o.

Lupita Nyongo kutoka Kenya tayari ameshaanza kuwa miongoni mwa mastar wa dunia na hii ni baada ya kuwa Mshindi wa tuzo za OSCAR 2014,kuna taarifa zimetoka kwenye vyombo vya habari vikimhusisha Lupita...

View Article

Msikilize Mbwiga leo March 07

Usikilize Udambwi dambwi wa Mbwiga wa Mbwiguke leo March 07 na kama kawaida kila Ijumaa anakuwa live studio akizungumza na jopo zima la Sports Extra,sikiliza kupitia 96.0 Clouds Fm Tanga. Bonyeza play...

View Article


Magazeti ya leo Jumamosi March 08 2014

Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania. Use Facebook to Comment on this PostThe post Magazeti ya leo Jumamosi...

View Article

Video ya D Knob na Mwasiti imetoka –‘nishike mkono’ iko hapa.

Baada ya kuwa zimetembea teaser kadhaa kuhusu hatimae imekamilika ile video ya D knob iliyofanywa na E media ambapo kwenye wimbo kashirikishwa Mwasiti. Use Facebook to Comment on this PostThe post...

View Article

Heri ya siku ya Wanawake Duniani.

Hii ni siku muhimu kwa Wanawake wote Duniani kwa kuadhimisha pamoja siku hii tunaamini kuwa bila wao pia tusingekuwepo hivyo kwa imani hiyo kila mmoja ana nafasi ya kuwashukuru Wanawake wote. Happy...

View Article
Browsing all 31461 articles
Browse latest View live