Huu ni wimbo mpya wa Snura unaitwa Ushaharibu ni wimbo wa pili baada ya Nimevurugwa ambao wimbo huo umeingia kwenye headline za kufungiwa wiki chache zilizopita,video ya wimbo huu umekwifanywa na Adam Juma wa Next Level kinachosubiriwa ni kutoka rasmi. Bonyeza play kusikiliza. Use Facebook to Comment on this Post
The post Sikiliza wimbo mpya wa Snura Ushaharibu. appeared first on TZA.