Lupita Nyongo kutoka Kenya tayari ameshaanza kuwa miongoni mwa mastar wa dunia na hii ni baada ya kuwa Mshindi wa tuzo za OSCAR 2014,kuna taarifa zimetoka kwenye vyombo vya habari vikimhusisha Lupita Nyong’o kutoka kimapenzi na Keinan Abdi. Keinan Abdi Wasame K’ naan ni mwanamuziki ambaye asili yake ni Somalia inasemekana kuwa uhusiano wake na...
The post Huyu ndiye Mwanaume anasemekana kutoka na Lupita Nyong’o. appeared first on TZA.