Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) inaendelea kesho (Machi 8 mwaka huu) kwa mechi tatu ambapo Coastal Union itaumana na Ashanti United kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga. Ruvu Shooting itaikaribisha Oljoro JKT kwenye Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani Pwania wakati Mbeya City itacheza na Rhino Rangers kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya. Mechi...
The post Ratiba ya ligi kuu ya Vodacom wiki hii hii hapa, fahamu Simba anakipiga na nani? appeared first on TZA.