Tafiti zinaonesha kuwa kidunia kila mwaka wanawake 529,000 hufariki dunia kutokana na matatizo ya uzazi wakati wa kujifunguwa ama wakati wa ujauzito. Tanzania ni Moja Wapo kati ya nchi 10 zinazo changia asilimia 60 ya vifo hivyo, Katika kila wanawake 100,000 watarajiwao kujifungua nchini Tanzania wanake 454 hufariki dunia, sawa sawa na wastani wa wanawake...
The post Kalamu ya Nikki wa II, ‘UZAZI SALAMA NI HAKI SIYO BAHATI’ appeared first on TZA.