Huu ni wimbo wa Roma ambao Teaser yake ilianza kuonekana wiki iliyopita kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii,jina la wimbo unaitwa KKK umefanyika Tongwe Records,kashirikishwa msanii mchanga kabisa kwenye muziki anaitwa Nicolazo ambaye kiasili anatokea Mtwara. Bonyeza play kusikiliza. Use Facebook to Comment on this Post
The post Kuwa wa mwanzo kuusikiliza wimbo mpya wa Roma Mkatoliki-KKK. appeared first on TZA.