Ukiniuliza kuhusu stori ambazo zimesomwa sana kwenye internet mwaka huu nchini Tanzania, hii ya msanii AT na mganga wake nayo imo kwenye orodha. Hii story ilianzia kwenye You Heard ya February 06 2014 ambapo ilimuhusu mtu anaesemekana kuwa Mganga wa AT aliyekuwa akilalamika AT kakimbia na deni lake. Leo March 10 2014 kesi ya Mganga...
The post Taarifa za leo kutoka Mahakamani kuhusu ile kesi ya msanii AT na Mganga wa jadi. appeared first on TZA.