Ni miongoni mwa zile stori ambazo mashabiki wengi hupenda kuzifahamu au hata kuziongelea kwenye vijiwe mbalimbali lakini uhakika umetolewa na mtandao unaodili na stori za soka kwa sana. Katika listi hiyo iliyotajwa leo, Ronaldo amemrithi David Beckham ambaye alistaafu soka mwishoni mwa msimu uliopita ambapo Ronaldo ana utajiri wa paundi millioni 122. Lionel Messi ameshika...
The post Unaitaka list ya leo ya Wanasoka 10 tajiri duniani, vp Rooney, Ronaldo na Messi je? appeared first on TZA.