Quantcast
Channel: Millard Ayo
Browsing all 31461 articles
Browse latest View live

Maneno ya Ney wa Mitego kuhusu single yake mpya iliyovuja mitandaoni.

Ule ugonjwa wa kuvuja kwa nyimbo za wasanii ambacho hazijakamilika au muda wake wa kutoka bado time hii imemkuta Ney wa Mitego baada ya wimbo wake mpya uitwao Only One kuenea kwenye mitandao...

View Article


Good news!! video ya Ali Kiba imepokelewa na kituo hiki kikubwa cha TV

Video ya hit song ‘Mwana‘ ya Ali Kiba Feb 3 2015 imepitishwa na kuoneshwa kwenye kituo kikubwa cha TV cha Trace TV kilichopo Ufaransa ambacho Wasanii wengi wakubwa wa Afrika wamekua wakionyesha furaha...

View Article


Ziko hapa kurasa za mwanzo na mwisho za Magazeti ya leo February 4, 2015

Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...

View Article

Usikilize hapa utani wa Babalevo kuhusu Diamond Platnumz!

Baba Levo ni msanii ambae kwa siku nyingi wengi wamekua wakimjua jinsi alivyo na uwezo wa kuchekesha, amekua akifanya utani kwa Wasanii wenzake na hata watu mtaani. Utani wake umeanza kumpa nafasi ya...

View Article

Uchambuzi wa Habari kubwa kwenye Magazeti yakisomwa hewani leo Feb 04,...

Nimekurekodia na kukuwekea kile kilichosomwa Magazetini leo February 04, kwenye Show ya Power Breakfast Clouds FM, unaweza kusikiliza hapa. Kwenye zile zilizosikika kwenye uchambuzi wa Magazeti leo iko...

View Article


Eto’o kaingia tu Sampdoria na kuanza matatizo na kocha! stori yote iko hapa

Ikiwa imepita wiki moja tu tangu asajiliwe na klabu ya Italia ya Sampdoria, mshambuliaji wa zamani wa kimataifa wa Cameroon Samuel Eto’o ameripotiwa kuwa kwenye utata wa kutaka kuihama klabu hiyo baada...

View Article

Wale wa Chris Brown na Tyga hii ndio video yao mpya Ayo

Muimbaji wa R&B Chris Brown na rapper Tyga wameachia video mpya ya single yao iitwayo Ayo itakayopatikana kwenye albam yao mpya Fan of a Fan 2 inayotajiwa kutoka mwaka huu. Itazame hapa Nitaendelea...

View Article

Ni time ya kuiona kava inayoikaribisha single mpya ya Nikki wa pili...

Rapper kutokea kundi la Weusi, Nikki wa pili ameanza kuzichukua headline baada ya kuingia studio kufanya collabo na wasanii sita kwenye single yake mpya akiwemo, Joh Makini, G Nako, Nahreel, Aika,...

View Article


255 iliyosikika leo kwenye XXL @CloudsFM msanii Tunda Man, Ferooz na Director...

Jumatano ya February 04 kwenye 255 ya XXL Clouds FM msanii Tunda Man amezungumzia mipango yake ya kuoa kabla ya mwaka huu kuisha, amesema kuwa anaoa kwa kuwa anaamini akifanya hivyo atapata baraka,...

View Article


Baba na mwana hapa wanaenjoy muziki mzuri…

Huenda ule usemi wa mtoto wa nyoka ni nyoka una maana na ukweli zaidi hasa pale mtoto anapoweza kurithi kazi ya wazazi wake na kuimudu vizuri. Peter Okoye kutoka kundi la P Square aliamua kushare na...

View Article

Kwenye U Heard ya leo Feb 04, inamhusu muimbaji wa nyimbo za Injili Flora Mbasha

Kwenye U Heard ya leo  February 04, inahusu picha ambazo zimesambaa kwenye mitandao zikimuonyesha muimbaji wa Nyimbo za Injili, Flora Mbasha akiwa na mtoto ambaye inasemekana amejifungua. Soudy Brown...

View Article

Kilichojadiliwa leo Bungeni kuhusu Movie zinazoingia sokoni Bongo kiko hapa…

Kikao cha Bunge kimeendelea leo Dodoma, wakati wa maswali na majibu moja ya ishu ambayo iliulizwa ni kuhusu Serikali inafanya jitihada gani kuzuia movie ambazo ziko kinyume na maadili ya Tanzania....

View Article

Hizi picha 2 za Beyonce akionekana kumgombeza Jay Z ndio zimechukua headlines...

Wanasema hakuna uhusiano wa kimapenzi usio na milima na mabonde ndani yake, yani kuna wakati wa furaha na kuna wakati kunatokea dosari za hapa na pale na kutoelewana. Jay Z na Beyonce ni miongoni mwa...

View Article


Matokeo ya mechi ya Yanga Vs Coastal Union pale Mkwakwani TANGA…

Ligi Kuu Tanzania Bara imeendelea leo, Timu ya Yanga SC ilikuwa kwenye dimba la Mkwakwani Tanga ambapo wanajangwani hao walikuwa wakichuana na wenyeji wa Tanga, Coastal Union mechi ambayo imeisha muda...

View Article

Nimekuwekea Habari za leo Feb 04, kutoka Redio Jambo Kenya wakati zikisomwa...

Unaweza kusikiliza habari kutoka Kenya, ilirekodiwa wakati ikisomwa Radio Jambo, pata nafasi ya kufahamu habari zote za Kenya leo February 04 kupitia hapa. Watu wanne wanasadikiwa kuuawa  baada ya wezi...

View Article


Ziko hapa kurasa za mwanzo na mwisho za Magazeti ya leo February 5 , 2015

Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...

View Article

Sikiliza uchambuzi wa story kubwa Magazetini kutoka kwenye #PowerBreakfast...

Magazeti ya leo tayari yapo mtaani, POWERBREAKFAST ya CLOUDS FM hufanya uchambuzi wa story kubwa zote zilizopo kwenye Magazeti ya kila siku. Miongoni mwa Habari kubwa kutoka kwenye Magazeti ya leo ni...

View Article


Zile stori za Instagram: Hili ndio gari jipya la Diamond Platnumz ??

Katika interview mbili nimewahi kumsikia Diamond Platnumz akitoa msemo mmoja unaofanana lakini katika hizo interview mbili tofauti, akitabasamu alisema ‘kama nafanya kazi kwa bidii ni lazima niishi...

View Article

Video mpya kutoka kwa Naeto C Feat. Flavour- ‘Helele’

Mpya nyingine kutoka  Nigeria, wimbo ni wa Naeto C kampa collabo Flavour wimbo unaitwa ‘Helele’ Video imefanywa Cape Town, Afrika Kusini na kampuni ya Fiendish Productions ambao walifanya pia video ya...

View Article

Mwanasiasa anaepinga mapenzi ya jinsia moja alivyohusishwa kwenye picha na...

Wakati idadi kubwa ya watu duniani ikiendelea kupinga mapenzi ya jinsia moja ambayo yamehalalishwa na baadhi ya nchi kubwa duniani, Russia limetolea hili jingine jipya. Ni habari ambayo imezungumziwa...

View Article
Browsing all 31461 articles
Browse latest View live