Nimekurekodia na kukuwekea kile kilichosomwa Magazetini leo February 04, kwenye Show ya Power Breakfast Clouds FM, unaweza kusikiliza hapa. Kwenye zile zilizosikika kwenye uchambuzi wa Magazeti leo iko taarifa kuhusu IGP azungumzia uporaji wa silaha katika vituo vya Polisi nchini, JWTZ wametegua bomu linalosemekana kurushwa miaka 60 huko Ruvuma, Takukuru imesema imemhoji na inaendelea kumchunguza mmiliki...
The post Uchambuzi wa Habari kubwa kwenye Magazeti yakisomwa hewani leo Feb 04, #PowerBreakfast appeared first on TZA_MillardAyo.