Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Usikilize hapa utani wa Babalevo kuhusu Diamond Platnumz!

$
0
0

Baba Levo ni msanii ambae kwa siku nyingi wengi wamekua wakimjua jinsi alivyo na uwezo wa kuchekesha, amekua akifanya utani kwa Wasanii wenzake na hata watu mtaani. Utani wake umeanza kumpa nafasi ya kusikika kwenye show ya AMPLIFAYA CloudsFM kila saa moja usiku ambapo Jumanne Feb 3 2015 alisikika na utani kuhusu msanii Diamond Platnumz,...

The post Usikilize hapa utani wa Babalevo kuhusu Diamond Platnumz! appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles