Ule ugonjwa wa kuvuja kwa nyimbo za wasanii ambacho hazijakamilika au muda wake wa kutoka bado time hii imemkuta Ney wa Mitego baada ya wimbo wake mpya uitwao Only One kuenea kwenye mitandao mbalimbali. Akiongea na millardayo.com alisema; “Mimi sijawahi kuvujiwa na wimbo kiukweli kabisa labda kitambo sana kipindi hicho nilikuwa sina nguvu kubwa yaani...
The post Maneno ya Ney wa Mitego kuhusu single yake mpya iliyovuja mitandaoni. appeared first on TZA_MillardAyo.