Mpya nyingine kutoka Nigeria, wimbo ni wa Naeto C kampa collabo Flavour wimbo unaitwa ‘Helele’ Video imefanywa Cape Town, Afrika Kusini na kampuni ya Fiendish Productions ambao walifanya pia video ya “Tony Montana (Remix)” ya Naeto aliyomshirikisha D’Banj. Icheki ‘Helele’ hapa kwa kubonyeza play. Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter...
The post Video mpya kutoka kwa Naeto C Feat. Flavour- ‘Helele’ appeared first on TZA_MillardAyo.